Saturday, January 19, 2013

Siku Passion FM walipochezea Kichapo toka Mkuranga Veterani

Mtangazaji wa Passion FM, Benn akizungumza na Afisa michezo wa halmashauri ya wilaya ya Mkuranga
Bwana Mlekwa kushoto mara baada ya mechi kuisha.Passion FM walilala kwa magoli 3-0
Hii ni penati iliyozaa goli la pili la Mkuranga Veterani dhidi ya Passion FM
Hawa ni baadhi ya mashabiki wa soka Mkuranga waliojitokeza kushuhudia mtanange kati ya Pasion FM na Mkuranga veterani.
Watu wa mkuranga wanapenda mpira bwana asikwambie mtu.